Mechi za raundi ya nne ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) zinaanza kupigwa leo kwa mchezo mmoja kati ya Eagle Stars Fc dhidi ya Mtibwa Sugar
Vinara wa ligi kuu Yanga wao watasubiri mpaka siku ya Jumamosi kuikabili Kengold katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru wakati watani zao Simba wao watashuka dimbani Ijumaa saa moja usiku kuikabili African Lyon
Ratiba ya mechi za raundi ya nne

ADVERTISE HERE