Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua kujiandaa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Kengold utakaopigwa Jumamosi, Februari 27 katika uwanja wa Uhuru
Jana vijana walikuwa na program maalum ya mazoezi ya GYM
Baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi, walirejea na kushiriki mazoezi hayo
Vinara hao wa ligi msimu huu wamepania 'kusepa' na taji la kila michuano wanayoshiriki
Walianza na kombe la Mapinduzi, bado FA na Ligi Kuu



ADVERTISE HERE