Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo fundi wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto'
Huyu ni mchezaji ambaye Wananchi wanamshuhudia akiendelea kukomaa msimu hadi msimu katika kikosi cha Yanga
Amekuwa na msimu bora sana mpaka sasa, akiwa mchezaji muhimu wa Yanga na hata kule kwenye timu ya Taifa
Huu ni msimu wake wa tatu akiwa na Yanga, hakika wananchi wanayo kila sababu ya kujivunia uwepo wake kutokana na kazi nzuri anayoifanya pake katikati ya dimba
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY FEI TOTO
ADVERTISE HERE