Mukoko anaendelea vizuri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Feb 2021
Mukoko anaendelea vizuri

Uoongozi wa klabu ya Yanga umewatua wasiwasi mashabiki kuhusu hali ya kiungo Mukoko Tomombe ambaye jana alishindwa kumaliza mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar baada ya kupata majeraha

Mukoko alitolewa uwanjani wakati mchezo ukiwa unaelekea ukingoni, akiwa katika hali ambayo haikuwa nzuri

Afisa Msemaji na Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema Mukoko anaendelea vizurii

"Tunashukuru mungu, kwa sasa hali yake ni nzuri," alisema Nugaz kwa kifupi

Mukoko amekuwa mchezaji muhimu kwenye safu ya kiungo ya Yanga na bila shaka atakuwa tayari kushuka tena dimbani pale Yanga itakapoikabili Kengold katika mchezo wa kombe la FA utakaopigwa wiki ijayo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’