Baada ya kulazimishwa sare ya mabao 3-3 dhidi ya Kagera Sugar, wachezaji wa Yanga kupitia nahodha wao Lamine Moro, wamewaomba radhi mashabiki
"Hatukupata matokeo mazuri leo licha ya kupambana mpaka dakika ya mwisho bahati haikuwa yetu. Nachukua nafasi hii kuwaomba radhi mashabiki wetu. Matokeo haya yametuumiza sote lakini hatupaswi kukata tamaa"
"Tunawaahidi mashabiki wetu, mje kwa wingi uwanjani Jumamosi, tutawapa furaha," amesema Lamine
Jumamosi Februari 20 Yanga itashuka tena uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mtibwa Sugar
ADVERTISE HERE