Wananchi wana jambo lao pale uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya keshokutwa Jumatano watakapo-wakaribisha Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Yanga imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambapo majukwaa ya Mzunguuko ni Tsh 5,000/- tu
Aidha VIP A ni Tsh 15,000/- wakati VIp B na C ni Tsh 10,000/-
Huu ni mchezo muhimu kwa Yanga kuondoka na alama zote tatu ili kuhakikisha wanaendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi hesabu zote zikielekezwa kwenye ubingwa
ADVERTISE HERE