Toleo jipya Mwana Jangwani limetoka

Admin By Admin
β€’
15 Feb 2021
Toleo jipya Mwana Jangwani limetoka

Wengi wetu tumepokea ujumbe unaotutaka tupakue toleo jipya la Mwana Jangwani (toleo namba 1.7.3)

Yapo maboresho muhimu yaliyofanyika kwenye toleo hilo lakini muhimu zaidi udhibiti umefanyika kwa wale wanaoingia kuvuruga mijadala

Utaratibu wa kuwadhibiti umeimarishwa. Ili uweze kuchangia mijadala kuanzia sasa, unapaswa kujiunga na Mwana Jangwani kwa kutumia akaunti yako halisi unayotumia kuingia Play Store

Kila mmoja anapaswa kujiunga upya kupitia utaratibu huo. Mwanzo tulikuwa na utaratibu wa kuzifungia akaunti lakini changamoto iliyokuwepo ni kuwa 'vivuruge' hao walikuwa na uwezo wa kutengeneza akaunti nyingine bandia

Sasa kwa utaratibu mpya akaunti ambazo zitakuwa zikiripotiwa kwa kuweka 'post' ambazo sio za kiungwana, zikifungwa wahusika hawatakuwa tena na uwezo wa kufungua akaunti nyingine

Lengo la kuwa na jukwaa hili ni kuwaunganisha Wanayanga wote Tanzania na nje ya nchi kubadilishana mawazo, kupata taarifa na kujadili masuala yanayoihusu klabu yao pendwa

Lakini kama kawaida wapo watu wasio waungwana ambao wanadhani kutukana, kukejeli na kuvuruga mijadala ni ujanja

Sasa habari ziwafikie, mwaka huu hawatakuwa na nafasi kwani taarifa zao zote zitakuwa zikifahamika, watashughulikiwa...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’