Zanzibar Heroes kuivaa Uganda leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
15 Dec 2017
Zanzibar Heroes kuivaa Uganda leo
Zanzibar Heroes wawakilishi wa Tanzania waliobaki kwenye michuano ya CECAFA Challenge nchini Kenya, watashuka dimbani leo kuivaa Uganda Cranes katika mchezo wa pili wa nusu fainali.

Nusu fainali ya kwanza imepigwa jana ambapo wenyeji wa mashindani hayo, Harambee Stars wametangulia fainali baada ya kuilaza Burundi bao 1-0.

Uganda ‘The Cranes’ ndiyo mabingwa watetezi wa michuano hiyo baada ya kutwaa taji hilo mwaka 2015 nchini Ethiopia wakiwafunga Rwanda 1-0 kwenye fainali iliyopigwa mjini Addis Ababa.

Licha ya kumkosa mlinzi wa pembeni Haji Mwinyi mwenye kadi tatu za njano, Hemedi Morocco mkufunzi wa Zanzibar Heroes amesema ana kikosi kipana kitakachoweza kushinda na na mabingwa watetezi Uganda.

Mshindi wa mchezo huo ataumana na Kenya katika mchezo wa fainali utakaopigwa Disemba 17.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE →
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE →
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →