Ajib rasmi Yanga

Admin By Admin
β€’
5 Jul 2017
Ajib rasmi Yanga
Baada ya ukimya wa muda mrefu Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwassa, ametangaza rasmi kuwa klabu ya Yanga imemsajili mshambuliaji wa zamani wa Simba Ibrahim Ajib kwa mkataba wa miaka miwili.

Mkwassa amebainisha hilo akiwa na Ajib alipozungumza na waandishi wa habari leo Makao Mkuu ya klabu hiyo.

Ajib atavaa jezi namba 10.



Makubaliano ya kumsajili Ajib yalikamilika wiki tatu zilizopita kilichokuwa kinasubiriwa ni mkataba wa mchezaji huyo na klabu yake ya zamani Simba umalizike.



Yanga iliepuka kumtangaza mchezaji huyo mapema kwani msimu uliopita klabu hiyo ilimsajili Hassan Ramadhani Kessy kutoka Simba na ikamtangaza siku tatu kabla mkataba wake haujamalizika na kupelekea kuilipa Simba Mil 50 baada ya klabu hiyo kupinga usajili wake TFF.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’