Leo Februari 11, 2021 siku muhimu kwa klabu ya Yanga ikiwa imepita miaka 86 tangu mabingwa hao wa kihistoria walipoundwa
Ni miaka 86 ya ufalme wa soka Tanzania, timu pekee yenye historia na uhuru wa nchi na hata ukombozi wa nchi nyingine barani Afrika
Ni kumbukumbu 'mujarab' kwa timu ya Wananchi, Happy Anniversary Timu kubwa nchini
ADVERTISE HERE