Yanga kuifuata Mbeya City Alhamisi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2021
Yanga kuifuata Mbeya City Alhamisi

Kikosi cha Yanga kinaondoka jijini Dar es salaam kesho Alhamisi kuelekea mkoani Mbeya ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Februari 13 katika uwanja wa Sokoine

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema timu itaondoka jijini Dar es salaam ikiwa na wachezaji 24 na viongozi 18, nane wakiwa wa benchi la ufundi

"Timu itaondoka Dar Alhamisi, tutaondoka na wachezaji 24 na viongozi 14, tutakuwa na msafara wa watu 38"

"Jumamosi tunakabiliwa na mchezo mgumu dhidi ya Mbeya City lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda, lengo letu ni kutwaa ubingwa msimu huu," alisema

Mabingwa hao wa kihistoria leo watakamilisha maandalizi yao ya mwisho kabla ya 'kupaa' mkoani Mbeya hapo kesho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’