Yanga yapewa Kengold ASFC 32 bora

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Feb 2021
Yanga yapewa Kengold ASFC 32 bora

Droo hatua ya 32 bora michuano ya kombe la FA (ASFC) imefanyika ambapo vinara wa ligi kuu Yanga wamepangwa kucheza na Kengold katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa 27-28 February 2021

Aidha kama Yanga itavuka raundi hiyo, katika hatua ya 16 bora itacheza na mshindi wa mchezo kati ya Sahare All Stars dhidi ya Tanzania Prisons

Mchezo wa hatua ya 16 bora pia utapigwa jijini Dar es salaam

Yanga bado haijacheza mchezo wowote katika michuano ya mwaka huu baada ya kuvuka raundi iliyopita kwa ushindi wa mezani kufuata wapinzani wao Singida United kukosa sifa baada ya kushushwa daraja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
38m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’