Klabu ya Namungo Fc imemtangaza Omary Kaya kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo
Kaya amewahi kuhudumu katika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya klabu ya Yanga kubwa zaidi ikiwa ya Katibu Mkuu
Anakuwa Mtendaji Mkuu wa kwanza wa klabu ya Namungo Fc ambayo imejipambanua kwa uendeshaji wa mfumo wa kisasa
Kila la kheri katika majukumu mapya...!
ADVERTISE HERE