Wana Mbeya mjiandae kuwapokea vijana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2021
Wana Mbeya mjiandae kuwapokea vijana

Wananchi Mbeya mkoa tayari? Mjiandae kuipokea timu yenu kwani mwishoni mwa wiki hii siku ya Jumamosi ule msako wa alama tatu unaingia hapo Mjini

Ni katika mchezo dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa Februari 13 katika uwanja wa Sokoine

Ni zamu yenu kupata burudani ya kibabe kutoka kwa mabingwa wa kihistoria, vinara wa ligi kuu ambao wako katika msako wa ubingwa wa 28

Huu sio mchezo wa kukosa...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’