Tutacheza kila mechi kama fainali - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2021
Tutacheza kila mechi kama fainali - Kaze

Baada ya watani zao Simba kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Azam Fc hapo jana, vinara wa ligi kuu ya Vodacom Yanga wana nafasi ya kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi siku ya Jumamosi kama watapata ushindi dhidi ya Mbeya City

Mabingwa hao wa kihistoria watakwenda Mbeya huku wakifahamu ushindi kwenye mchezo huo utawafanya waongeze tofauti ya alama dhidi ya Simba kutoka alama tano na kuwa nane

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze amesema wanazichukulia mechi zote zilizobaki sawa na mechi za fainali, wakianzia na mchezo dhidi ya Mbeya City

"Tunafahamu mchezo dhidi ya Mbeya Ciy hautakuwa mwepesi nadhani hata mechi nyingine zote zilizobaki zitakuwa hivyo hivyo"

"Tunapaswa kupambana katika kila mchezo ili kuweza kushinda," alisema Kaze

Kulingana na Ratiba iliyotolewa na Bodi ya Ligi, baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City, Yanga itarejea jijini Dar es salaam ambako itacheza mechi mbili dhidi ya Kagera Sugar na Mtibwa Sugar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’