Wapo waliokuwa wanadhani kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ni kazi rahisi, Yanga kuna kazi kubwa wameifanya mpaka kuwa pale
Kimahesabu Yanga inahitaji kuendeleza pale ilipoishia duru la kwanza, Februari 13 watasafiri mkoani Mbeya kuanza na Mbeya City
Kampeni ya alama tatu tatu na iendelee, huu mwaka Wananchi wana jambo lao
Hivi viporo wacha waendelee kukusanyiwa tu kwani mwaka huu havitasawaidia...!
ADVERTISE HERE