FT : Yanga 0-1 African Sports

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Feb 2021
FT : Yanga 0-1 African Sports

Watoto wa Tanga, African Sports wamewalaza na viatu kaka zao Yanga baada ya kuwachapa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi

Ulikuwa mchezo wa kwanza kwa mshambuliaji Fiston Abdul Razak aliyecheza kwa takribani dakika 70

Hata hivyo viungo leo hawakwendana na mikimbio yake hali iliyopelekea aingie katika mitego ya kuotea kila mara

Yanga watajilaumu wenyewe kwa kukosa matokeo katika mchezo huo kwani walishindwa kutumia nafasi nyingi walizotengeneza

Kaze alibadili kikosi chake katika kipindi cha pili hasa baada ya African Sports kupata bao la kuongoza lakini mchezo huo ulimalizika kwa ushindi kwa African Sports

Ulikuwa ni mchezo wa maandalizi kuelekea kurejea kwa mikiki mikiki ya ligi kuu Yanga ikitarajiwa kusafiri mkoani Mbeya kuifuata Mbeya City

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’