Katika kujiandaa na kurejea kwa mechi za Ligi kuu ya Vodacom duru ya pili, Yanga kesho Jumamosi watapasha misuli kwa mechi ya kirafiki dhidi ya African Sports wana kimanumanu kutoka Tanga.
Mpambano huo utafanyika Azam Complex Chamazi. Kwa wale ambao hawataweza kufika kule Chamazi, wataushuhudia mchezo huu mbashara kupitia Azam Sport 2
Utakuwa hewani kuanzia saa moja kamili usiku
Hii ni mechi ya 'kutest mitambo' tu kujiandaa na patashika ya lala salama VPL
ADVERTISE HERE