Injinia Hersi afafanua usajili wa Fiston

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Feb 2021
Injinia Hersi afafanua usajili wa Fiston

Miongoni mwa masuala ambayo jana yalitolewa ufafanuzi na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said katika Wananchi Media Day, ni usajili wa mshambuliaji Fison Abdul Razak

Injinia Hersi alithibitisha kuwa Yanga ilimsajili Fiston kwa mkataba wa awali wa miezi sita lakini yapo makubaliano maalum kuwa nyota huo anaweza kuongeza mkataba huo kuwa miaka miwili

"Kuna timu kutoka barani Asia ilikuwa ikimuhitaji Fiston sasa wakati akisubiri dili lake tukazungumza nae ajiunge nasi kwa mkataba wa miezi sita"

"Kama dili lake litakamilika basi atajiunga na timu hiyo baada ya mkataba wake wa miezi sita kumalizika lakini kama ni sivyo basi atasalia hapa kwa mwaka mmoja na nusu zaidi," alisema

Aidha Injinia Hersi amesema tayari vibali vya nyota huyo vimepatikana na wameshaviwasilisha TFF hivyo anaruhusiwa kuitumikia Yanga katika mashindano yote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’