Yanga yapangiwa Wa Shelisheli ligi ya mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Dec 2017
Yanga yapangiwa Wa Shelisheli ligi ya mabingwa
Droo ya hatua za awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika leo ambapo mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wamepangiwa klabu ya St Louis ya Shelisheli.

Mchezo wa kwanza utapigwa nyumbani kati ya 9Γ’β‚¬β€œ11 February 2018 kabla ya kurudiana huko Shelisheli kati ya 16Γ’β‚¬β€œ18 February 2018.

Yanga ina nafasi kubwa ya kuvuka hatua ya awali ya michuano hiyo kwani St Louis sio miongoni mwa timu zenye rekodi inayotambulika katika soka la Afrika

Aidha kama itavuka hatua ya awali Yanga inatarajiwa kuchuana na mshindi kati ya El Merreikh ya Sudan au Township Rollers ya Botswana mwezi Machi 2018 katika mchezo wa raundi ya kwanza.

Mshindi wa mchezo huo ataingia hatua ya makundi, 16 bora.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’