Mshauri wa klabu ya Yanga Senzo Mbartha amewakaribisha wadau Avic Town, Kigamboni katika tukio la Wananchi Media Day linafanyika Kigamboni
Senzo amesema lengo la Wananchi Media Day ni kuongeza mahusiano baina ya wawakilishi, wadhamini na viongozi wa klabu na waandishi wahabari, mahojiano ya ana kwa ana kati ya waandishi wa habari na mtu mmoja kwa mmoja iwe ni mdhamini, kiongozi au mchezaji wa Yanga Sc au Yanga Princess





ADVERTISE HERE