Uthibitisho wa TFF kupokea Milioni Tano ya Bumbuli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2021
Uthibitisho wa TFF kupokea Milioni Tano ya Bumbuli

Afisa habari wa klabu ya Yanga ndugu Hassan Bumbuli ameweka hadharani nakala ya uthibitisho wa malipo kama sehemu ya malipo ya faini aliyopigwa na shirikisho la mpira Tanzania (TFF)

Hata hivyo hilo halikumsaidia kukwepa kifungo cha miaka mitatu kujihusisha na masuala ya soka!

Tayari amekata rufaa kupinga hukumu hiyo huku uongozi wa Yanga ukichukua hatua zaidi kwa kupeleka malalamiko mamlaka za juu ya TFF ambazo ni BMT na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’