Mohammed Ibrahim 'Mo' kiungo mshambuliaji wa Simba jana alipata msiba wa kufiwa na mtoto wake mdogo aliyempata miezi michache iliyopita.
Mazishi ya mtoto huyo yamefanyika leo nyumbani kwake Mbagala jijini Dar es salaam.
Tukiwa kama wadau wa soka, tunampa pole Mo, Mwenyezi Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

ADVERTISE HERE