Yanga WhatsApp wakabidhi rambirambi kwa Mwamnyeto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2021
Yanga WhatsApp wakabidhi rambirambi kwa Mwamnyeto

Wiki chache zilizopita kabla ya kuanza kwa michuano ya CHAN, beki wa timu ya Taifa na nahodha Msaidizi wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto alipata msiba kwa kufiwa na mchumba wake kutokana na matatizo ya uzazi

Ulikuwa msiba mkubwa kwa Mwamnyeto ambaye hata hivyo aliweka uzalendo wa Taifa lake mbele na kwenda 'kupigana vita' kule Cameroon

Jana Umoja wa Mashabiki wa Yanga makundi ya WhatsApp walimkabidhi Mwamnyeto kiasi cha Tsh 6.2Mil kama rambirambi ya faraja kwa kumpoteza mchumba wake aliyefariki pamoja na mtoto

Kwa mara nyingine, tunampa pole Mwamnyeto kwa msiba mkubwa aliopata

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’