Kambi ya Yanga kule Kigamboni imekuwa na ulinzi mkali ambapo hakuna mtu yeyote anayeruhusiwa kuingia pasipo ruhusa ya uongozi
Sasa kwa mara ya kwanza waandishi wa habari wamekaribishwa ndani ya Mji huo ambao klabu ya Yanga inaishi tangu mwanzoni mwa msimu
Ni siku ya Wananchi Media Day...!
ADVERTISE HERE