Hakuna muda wa kupoteza! Baada ya kutua jijini Dar es salaam hapo jana, mshambuliaji mpya wa Yanga Fiston Abdul Razak ameanza mazoezi Avic Town, Kigamboni
Fiston amenogesha mazoezi, Yanga ikiendelea kujifua kwa ajili ya kurejea kwa mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom pamoja na mechi za kombe la FA






ADVERTISE HERE