Sarpong amerudi na nguvu mpya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2021
Sarpong amerudi na nguvu mpya

Mshambuliaji wa Yanga Michael Sarpong 'Bull Striker'amerejea na nguvu mpya baada ya mapumziko

Sarpong aliyefunga mabao manne kwenye ligi msimu huu, jina lake lilizungumzwa sana wakati wa usajili wa dirisha dogo tetesi zikivuma kuwa angeweza kutimkia Uchina

Mshambuliaji huyo raia wa Ghana, bado hajaimaliza kazi iliyomleta Tanzania, ana nafasi nyingine katika duru ya pili VPL na kombe la FA

Sasa ameongezewa ushindani katika nafasi yake, ni ujio wa mshambuliaji Fiston Absul Razak

Ligi na irejee sasa wananchi wapate burudani..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’