Mchana wa leo, mashabiki wa Yanga walijitokeza uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kumpokea mshambuliaji mpya wa timu hiyo Abdul Razak Fiston
Ni tukio lililomshangaza sana Fiston, ambaye kwa moyo wa dhati aliwashukuru mashabiki wote waliojitokeza kumpokea
Hata hivyo kwa Wananchi huu ni utamaduni, Wachezaji wote wa kigeni msimu huu wamepata mapokezi haya ya heshima




ADVERTISE HERE