Haya aliandika Injinia Hersi Julai 24 2020

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jan 2021
Haya aliandika Injinia Hersi Julai 24 2020

Three PILLARS of a successful football club;

1. PROPER MANAGEMENT
2. GREAT TECHNICAL DEPARTMENT
3. TOP CLASS PLAYERS

Katika kufikia malengo yetu, tunalazimika kujenga maeneo haya matatu kwa UMAKINI, UWELEDI, UZALENDO na MAPENZI MEMA kwa klabu yetu.

AIDHA, ujenzi huu utafanyika katika muda mfupi tulionao bila kusita wala kutetereka.

HESABU SIKU KUANZIA SASA KATIKA SAFARI HII itakayo wavutia sasa na hata vizazi vyetu hapo kesho.

...............................................................

LEO 29th Jan 2021 NAANDIKA;

1. PROPER MANAGEMENT - DONE
2. GREAT TECHNICAL DEPARTMENT - DONE
3. TOP CLASS PLAYERS - DONE

MAFANIKIO;

1. Kubeba ubingwa wa MAPINDUZI CUP 2021
2. Kuongoza ligi katika mzunguko wa kwanza.
3. Kutokupoteza mchezo wowote katika msimu wa 2020/21

Mola ametenda mema kwetu na tutaendelea kumuomba huku jitihada kubwa za kuendelea kuijenga timu yetu zikifanyika.
Ujenzi wa timu yetu umekuwa wenye kuzingatia weledi na ufanisi huku tukitaraji mazuri zaidi tuelekeapo kwenye mfumo wa mabadiliko ( TRANSFORMATION )

Sasa wananchi shabaha na malengo yetu ni moja tu, UBINGWA wa VPL 2020/21

Twende pamoja katika safari hii ya mafanikio.

USISAHAU FISTON ABDUL RAZAQ NI MWANANCHI

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’