Pesa alishalipa, je atarudishiwa?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jan 2021
Pesa alishalipa, je atarudishiwa?

Wakati TFF ikitangaza kumfungia Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli kutojishughulisha na shughuli za mpira ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitatu kwa kosa la kutotii uamuzi wa Kamati ya Maadili, imebainika Bumbuli tayari alishalipa faini ya Tsh Milioni tano wiki iliyopita

Kwa mujibu wa adhabu iliyotolewa na kamati ya Maadili, Septemba 28 2020, Bumbuli aliamuliwa kulipa faini ya Tsh Milioni tano kwa kosa la kutoa taarifa za uongo wakati wa shauri la mchezaji Bernard Morrison na klabu ya Yanga

Imethibitishwa Bumbuli alilipa faini hiyo wiki iliyopita

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’