Mortotsi ameletwa kuwa mtaalamu wa viungo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jan 2021
Mortotsi ameletwa kuwa mtaalamu wa viungo

Edem Mortotsi raia wa Ghana yuko nchini kujiunga na Yanga ikielezwa kwamba anakuwa kocha wa viungo

Mortotsi mwenye miaka 27 alipokelewa jana na Injinia Hersi Said kukamilisha makubaliano binafsi kabla ya kusaini mkataba

Mortotsi ni mzaliwa wa Ghana aliyekulia Canada, amewahi kucheza soka kunako klabu ya FC Edmonton ya huko Canada kwa miaka saba.

Wakati anacheza, alikuwa kiungo mahiri wa kati inaelezwa alifanikiwa kucheza mechi 18 za mashindano yote msimu wa 2018/19

Msimu uliopita hakufanikiwa kucheza kutokana na kusumbuliwa na majeraha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’