Senzo amshukia 'Vuvuzela' wao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jan 2021
Senzo amshukia 'Vuvuzela' wao

Mshauri wa klabu ya Yanga Senzo Mbartha Mazingisa amesema hapa Tanzania yuko mtu ambaye kazi yake kubwa ni kupiga kelele kwa lengo la kukwamisha au kupinga mipango yoyote inayofanywa na klabu ya Yanga

Senzo amemfananisha mtu huyo na Vuvuzela, tarumbeta maarufu kule Afrika Kusini ambazo mashabiki huzitumia kunogesha ushangiliaji wa kandanda

Vuvuzela hizo huwa na kelele kali kiasi zinaweza kuwafanya watu wasiweze kusikilizana uwanjani

Senzo amesema wamebaini mbinu za mtu huyo na kundi lake,Β  wamejipanga kwa kutumia njia sahihi, watafikia malengo yaliyowekwa

Huyo ni chokoraa

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said nae amepigilia msumari akimfananisha mtu huyo na CHOKORAA

"Mtu hajawahi kuwa na kampuni wala kufanya kazi kwenye kampuni kubwa si ajabu kuona anashangaa calendar"

"Kampuni zote kubwa duniani zina calendar zao, hata sisi GSM tunatengeneza calendar zetu, nenda mabenki yote Tanzania wana Calendar zao"

"Taasisi zote kubwa za serikali wana Calendar zao, Sisi Yanga ni taasisi kubwa pia. Tungeweza kutengeneza na kuzigawa bure lakini tukifanya hivyo watu makini watatushangaa maana Yanga inahitaji pesa na hatuoni sababu kwanini Mwananchi asinunue calendar ya timu yake!"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’