Kusaidia yatima ni utamaduni Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2021
Kusaidia yatima ni utamaduni Yanga

Wiki iliyopita mshambuliaji wa Yanga Michael Sarpong alipata fursa ya kutoa msaada katika kituo cha Royal Seed Orphanage, nchini Ghana

Huu umekuwa ni utamaduni ndani ya Yanga kurudisha kwa jamii na kuweza kufanya kilicho bora ili kuleta furaha kwenye jamii mbalimbali

Mashabiki, Wanachama, viongozi na wachezaji wameshiriki kikamilifu katika kurejesha furaha ya Wananchi katika jamii zinazowazunguuka

Hii ndio maana ya halisi ya kuitwa timu ya Wananchi, sehemu ya kinachopatikana kinarejeshwa kwa Wananchi!

Hongera Sarpong kwa kuwapa tabasamu wale wenye uhitaji huko Ghana...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
16h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
17h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
17h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’