Fiston kuwasili leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jan 2021
Fiston kuwasili leo

Mshambuliaji mpya wa Yanga Fiston Abdul Razak anatarajiwa kuwasili nchini leo kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria kuanza maandalizi ya ligi kuu na kombe la FA

Yanga inatarajiwa kuanza kujifua kesho Jumatatu Januari 25 wachezaji wakitarajiwa kuingia kambini kule Kigamboni leo

Fiston ni usajili mpya ndani ya Yanga, akitua wakati wa dirisha dogo sambamba na Dickson Job na Saido Ntibazonkiza ambaye alisajiliwa mapema zaidi

Mshambuliaji huyo mwenye uzoefu mkubwa na soka la Afrika, anatarajiwa kuongeza makali kwenye safu ya ushambuliaji ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’