Baada ya kukamilisha duru ya kwanza (Michezo 11), Yanga Princess imesimama kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' ikijikusanyia alama 31
Kinadada hawa Wananchi, wameshinda michezo 10 na kutoka sare mchezo mmoja tu. Lakini pia wamefungwa bao moja tu!

Katika kipindi kama hiki msimu uliopita, Yanga Princess ilikuwa ikishika nafasi ya sita
Nyota njema huonekana asubuhi na mapema!
ADVERTISE HERE