Droo ligi ya mabingwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Dec 2017
Droo ligi ya mabingwa leo
Droo ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na ile ya kombe la shirikisho inatarajiwa kufanyika leo Jumatano, Disemba 13 jiji la Cairo nchini Misri.

Yanga itaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika huku Simba ikitarajiwa kushiriki michuano ya kombe la shirikisho.

Wydad Casablanca ya Morocco ndio mabingwa watetezi wa ligi ya mabingwa Afrika baada ya kuishinda Al Ahly mwezi uliopita huku TP Mazembe wakiwa mabingwa kombe la shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo.

Yanga inatarajiwa kukumbana na vigogo wa soka Afrika kwenye mzunguuko wa pili kama itafuzu mzunguuko wa kwanza ambao mpinzani wake atafahamika kesho.

Msimu uliopita Yanga ilitolewa katika mzunguuko wa pili na ZANACO Fc baada ya kulazimishwa suluhu ya 0-0 katika mchezo wa marudiano nchini Zambia baada sare ya bao 1-1 jijini Dar es salaam.

Timu 58 zitakazoingia katika droo jijini Cairo.

Algeria: Entente Setif, Mouloudia Alger, Angola: Primeiro Agosto, Benin: to be named, Botswana: Township Rollers, Burkina Faso: Kadiogo, Burundi: LLB Academic, Cameroon: Eding Sport, Central African Republic: Olympic Real Bangui, Congo Brazzaville: AC Leopards, Otoho, Democratic Republic of Congo: V Club, TP Mazembe, Egypt: Al Ahly, Misr Lel-Makkasa, Equatorial Guinea: Leones Vegetarianos, Ethiopia: Saint George, Gabon: Mounana, Gambia: Armed Forces, Ghana: Aduana Stars, Guinea: Horoya, Guinea-Bissau: Benfica, Ivory Coast: ASEC Mimosas, Williamsville, Kenya: Gor Mahia, Lesotho: Bantu, Liberia LISCR, Libya Al Tahaddy, Madagascar: CNaPS Sport, Malawi: Be Forward Mighty Wanderers, Mali: Stade Malien, Real Bamako, Mauritania: Concorde, Mauritius: Pamplemousse, Morocco: Difaa el Jadidi, Wydad Casablanca (holders), Mozambique: Songo, Niger: AS FAN, Nigeria: Plateau Utd, MFM, Rwanda: Rayon Sports, Senegal: Generation Foot, Seychelles: Saint Louis, South Africa: Mamelodi Sundowns, Wits, South Sudan: Wau Salaam, Sudan: Al Hilal, Al Merrikh, Swaziland: Mbabane Swallows, Tanzania: Young Africans, Togo: Port, Tunisia: Esperance, Etoile Sahel, Uganda: KCCA, Zambia: Zesco Utd, Zanaco, Zanzibar: JKU, Zimbabwe: Platinum Did not enter: Cape Verde, Chad, Comoros, Djibouti, Eritrea, Namibia, Reunion, Sao Tome e Principe, Sierra Leone, Somalia.

Tarehe za michezo ya awali: (preliminary round) - Feb 9/11 na 16/18; raundi ya kwanza: Mar 9/11 and 16/18
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’