Kwa dozi hizi wajipange kwelikweli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jan 2021
Kwa dozi hizi wajipange kwelikweli

Timu ya soka ya Yanga Princess jana ilizida kujikita kileleni baada ya kuifunga TSC ya Mwanza kwa mabao 7-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Mabao katika mchezo huo yalifungwa na Aisha Khamis alifunga manne, Amina Ally alifunga mawili na Philemona Daniel alifunga moja. Kwa matokeo hayo, Yanga imefikisha pointi 28 baada ya kucheza michezo 10 na kushinda tisa na sare moja.

Ushindi huo ni wa tisa kati ya michezo 10 ambayo Yanga Princess imecheza mpaka sasa

Wanabaki kileleni mwa msimamo wa ligi wakifikisha alama 30

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’