Wababe wa soka la Wanawake JKT Queens leo wameonja joto ya jiwe mbele ya Yanga Princess baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0
Ulikuwa ni mchezo wa ligi kuu ya Wanawake raundi ya tisa
Ushindi huo ni ishara nzuri kwa Yanga Princess kuwa sasa imeiva na haiko kileleni kwa bahati mbaya
Kinadada hao wamefikisha alama 25, wakiendelea kujikita juu ya msimamo wa ligi kuu ya Wanawake maarufu Serengeti Lite
Huu moto hauzimi mpaka Mei...!
ADVERTISE HERE