Mapinduzi Queens leo wamekutana na 'mziki' wa Yanga Princess wakichabangwa mabao 7-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake, Serengeti Lite
Huu ni ushindi wa saba katika michezo nane ambayo Yanga Princess imecheza kwenye ligi hiyo msimu huu
Yanga Princess inaendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi wakikusanya alama 22
Mchezo unaofuata ni dhidi ya kinadada maafande, JKT Queens
Ni mwendo 'mpera-mpera' hadi kubeba ndoo Mei 2021
ADVERTISE HERE