Anayejiweza aje fainali sasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jan 2021
Anayejiweza aje fainali sasa

Ndivyo wananchi wanavyosema baada ya timu yao kutinga fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa mikwaju ya penati 5-4 dhidi ya Azam Fc baada ya mchezo kumalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Mlinda lango Farouk Shikhalo alikuwa shujaa wa mchezo huo akiokoa mikwaju miwili ya penati

Sasa Yanga wanawasubiri watani zao Simba ambao baadae watacheza na Namungo Fc katika mchezo wa pili wa nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
32m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’