Mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc unapigwa saa kumi jioni ya leo katika uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar
Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze ameanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE