Tayari kochi jeupe limeanza kutema makali yake wakati dirisha dogo la usajili likielekea ukingoni
Beki kisiki wa Mtibwa Sugar, na timu ya Taifa, Dickson Job ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji halali wa Yanga
Ni usajili uliokuwa unasubiri utambulisho kwani mchakato wake ulikuwa umekamilika mapema. Job amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu kuitumikia Yanga
Karibu kwa Wananchi, Dickson Job...!
ADVERTISE HERE