Happy Birthday Ramadhani Kabwili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jan 2021
Happy Birthday Ramadhani Kabwili

Mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa

Pamoja na kukosa nafasi msimu huu, Kabwili ni hazina kubwa kwa Yanga, wakati wake utafika

Umri wake bado ni mdogo, alianza kutamba na timu ya wakubwa akiwa na umri wa miaka 17, hivyo ni mlinda lango ambaye Yanga wanajivunia kumlea

Leo atakuwa na kazi kubwa kambini Zanzibar kwani yeye husimamia 'vurugu' zote za 'birthday' kwa wachezaji wengine

Happy Birthday Kabwili..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’