Mchumba wa nahodha msaidizi wa Yanga aliyefariki dunia juzi pamoja na mtoto, amepumzishwa katika nyumba yake ya milele mkoani Morogoro
Licha ya mvua kubwa kunyesha, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, Mhandisi Hersi Said alikuwa miongoni mwa waombolezaji walioshiriki mazishi mwenza huyo wa Bakari Nondo Mwamnyeto
Haikuwa dunia ila ni mapito
ADVERTISE HERE