Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mshambuliaji wa Yanga Yacouba Sogne
Nyota huyo kutoka Burkina Faso alijiunga na Yanga katika usajili uliopita
Alianza maisha yake na Yanga taratibu lakini sasa mchango wake umeanza kuonekana
Kwenye ligi amefunga mabao manne na kutoa pasi za mabao matatu ambayo yote yalifungwa na Deus Kaseke
Wanayanga wameanza kumuamini, hakuna shaka atalipa imani hiyo kwa kuisaidia Yanga kushinda ubingwa wa ligi kuu msimu huu
Heri ya siku ya kuzaliwa kwake...!
ADVERTISE HERE