Stars kujipima na DR Congo Jumanne

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2021
Stars kujipima na DR Congo Jumanne

Wiki ijayo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itasafiri kwenda nchini Cameroon kushiriki fainali za michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Januari 16 2021 na itafikia tamati Februari 07 2021

Kabla ya kuelekea Cameroon, Jumanne ya Januari 12, Stars itajipima nguvu na DR Congo mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo huo utatumika kumuaga rasmi beki mkongwe Aggrey Morris aliyetangaza kustaafu kuichezea timu ya Taifa

Viingilio vya mchezo huo VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati Mzunguuko ni Tsh 3,000/-

Mchezo utaunguruma kuanzia saa 11 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’