Hii lazima kieleweke..!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2021
Hii lazima kieleweke..!

Kesho Ijumaa tarehe 8/1/2021 katika dimba la Amaan Zanzibar, Yanga itashuka dimbani kucheza mchezo wa pili wa michuano ya kombe la Mapinduzi dhidi ya Namungo Fc, kuanzia saa 2:15 usiku

Hii ni mechi ya kufa na kupona kwani Yanga wanahitaji alama zote tatu ili kutinga nusu fainali ya michuano hiyo

Hesabu za kocha Cedric Kaze ni kuona timu yake inaondoka na taji la michuano hiyo mwaka huu

Hakuweka mkazo katika mchezo wa kwanza dhidi ya Jamhuri ambapo aliutumia mchezo huo kuwapa nafasi wachezaji ambao hawachezi mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza

Hakuna shaka, mchezo wa kesho atashusha 'full mkoko', kuwapa furaha mashabiki wa Yanga hasa Wazanzibar waliofurahi kuiona timu yao visiwani humo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’