Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga Injinia Hersi Said amepewa mchongo wa kumtupia jicho kiungo mshambuliaji wa Platinum Fc Perfect Chikwende
Pamoja na timu yake kuondokwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na Simba kuchapwa jumla ya mabao 4-1, Chikwende ameonyesha kiwango cha juu katika mechi zote mbili akiwa mfungaji wa bao pekee walilofunga kule Zimbabwe
Kuna wakati Azam Fc ilikuwa ikitajwa kumuwania nyota huyo, ni usajili unaoweza kuwa na faida kubwa
Injinia Hersi hajawahi kushindwa, kama atamtupia jicho, unaweza kuwa usajili wenye manufaa sana
ADVERTISE HERE