Mapema leo klabu ya Yanga imefanya ziara kumtembelea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman ofisini kwake Ikulu ya Vuga mjini Unguja ambapo Uongozi, wachezaji na benchi la Ufundi walimpa zawadi ya Jezi rasmi akiwa kama mwanachama halisi wa Yanga





ADVERTISE HERE