Kikosi cha Yanga kimewasili visiwani Zanzibar jana jioni kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi inayoanza leo Jumanne
Yanga imetua Zanzibar kuwapa furaha mashabiki wake katika michuano hiyo. Nyota raia wa kigeni walionekana kufurahia mandhari ya kisiwa hicho cha kitalii
Hii ni mara ya kwanza kwa wachezaji kama Saido Ntibazonkiza, Carlinhos, Yacouba Songne, Michael Sarpong Tuisila Kisinda, Farouk Shikhalo na Mukoko Tomombe kufika visiwani Zanzibar






ADVERTISE HERE